Jeremiah 17:19

Kuiadhimisha Sabato

19 aHili ndilo Bwana aliloniambia: “Nenda ukasimame kwenye lango la watu, mahali ambako wafalme wa Yuda huingilia na kutokea, simama pia kwenye malango mengine yote ya Yerusalemu.
Copyright information for SwhNEN